11 Mwenyezi-Mungu alionesha uzito wa ghadhabu yake,aliimimina hasira yake kali;aliwasha moto huko mjini Siyoniambao uliteketeza misingi yake.
Kusoma sura kamili Maombolezo 4
Mtazamo Maombolezo 4:11 katika mazingira