Maombolezo 4:12 BHN

12 Wafalme duniani hawakuaminiwala wakazi wowote wa ulimwenguni,kwamba mvamizi au aduiangeweza kuingia malango ya Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Maombolezo 4

Mtazamo Maombolezo 4:12 katika mazingira