16 Basi, nikatafakari nikisema, “Nimejipatia hekima nyingi zaidi kupita wote waliopata kutawala Yerusalemu kabla yangu. Naam, nina uzoefu wa hekima na maarifa.”
Kusoma sura kamili Mhubiri 1
Mtazamo Mhubiri 1:16 katika mazingira