Mhubiri 10:20 BHN

20 Usimwapize mtawala hata moyoni mwako,wala usimwapize tajiri hata chumbani mwako unakolala,kwa kuwa ndege ataisikia sauti yako,au kiumbe arukaye atatangaza maneno yako.

Kusoma sura kamili Mhubiri 10

Mtazamo Mhubiri 10:20 katika mazingira