11 Misemo ya wenye hekima ni kama michokoo na methali zilizokusanywa pamoja na mchungaji mmoja ni kama vigingi vilivyopigiliwa imara ardhini.
Kusoma sura kamili Mhubiri 12
Mtazamo Mhubiri 12:11 katika mazingira