Mhubiri 12:2 BHN

2 Umkumbuke kabla ya wakati ambapo kwako mwanga wa jua utafifia;mwezi na nyota haviangazi tena,nayo mawingu yametanda tena baada ya mvua.

Kusoma sura kamili Mhubiri 12

Mtazamo Mhubiri 12:2 katika mazingira