Mhubiri 2:15 BHN

15 Basi, nikasema moyoni mwangu, “Yatakayompata mpumbavu yatanipata na mimi pia. Kwa nini, basi, nimekuwa na hekima kiasi chote hiki?” Nikajibu, nikiwaza, “Hayo nayo ni bure kabisa.”

Kusoma sura kamili Mhubiri 2

Mtazamo Mhubiri 2:15 katika mazingira