19 Mwisho wa binadamu na mwisho wa mnyama ni uleule. Jinsi anavyokufa binadamu ndivyo anavyokufa mnyama. Wote hupumua namna ileile; binadamu si bora kuliko mnyama. Kwao yote ni bure kabisa.
Kusoma sura kamili Mhubiri 3
Mtazamo Mhubiri 3:19 katika mazingira