1 Kisha nikaona udhalimu wote unaofanyika duniani. Watu wanaokandamizwa hulia machozi, lakini hakuna yeyote anayewafariji. Wakandamizaji wao wana nguvu, ndiyo sababu hakuna wa kuwafariji.
Kusoma sura kamili Mhubiri 4
Mtazamo Mhubiri 4:1 katika mazingira