Mhubiri 4:12 BHN

12 Mtu akiwa peke yake aweza kushindwa na adui, lakini wakiwa wawili watamkabili na kumshinda adui. Kamba tatu zikisokotwa pamoja hazikatiki kwa urahisi.

Kusoma sura kamili Mhubiri 4

Mtazamo Mhubiri 4:12 katika mazingira