Mhubiri 5:10 BHN

10 Apendaye fedha hatatosheka na fedha; wala atamaniye mali hata akiipata hatatosheka. Hilo nalo ni bure kabisa.

Kusoma sura kamili Mhubiri 5

Mtazamo Mhubiri 5:10 katika mazingira