9 Hayo nayo ni bure kabisa; ni sawa na kufukuza upepo. Afadhali kuridhika na ulicho nacho kuliko kuhangaika kwa kutamani kitu kingine.
Kusoma sura kamili Mhubiri 6
Mtazamo Mhubiri 6:9 katika mazingira