15 Katika maisha yangu duni, nimeona kila kitu; mtu mwadilifu hufa ingawa ni mwadilifu, ambapo mtu mwovu huendelea kuishi maisha marefu ingawa ni mwovu.
Kusoma sura kamili Mhubiri 7
Mtazamo Mhubiri 7:15 katika mazingira