1 Nani aliye kama mwenye hekima?Nani ajuaye hali halisi ya vitu?Hekima humletea mtu tabasamu,huubadilisha uso wake mwenye huzuni.
Kusoma sura kamili Mhubiri 8
Mtazamo Mhubiri 8:1 katika mazingira