Mhubiri 9:5 BHN

5 Maana, walio hai hujua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui chochote. Hawana tuzo tena; hata kumbukumbu lao limesahauliwa kabisa.

Kusoma sura kamili Mhubiri 9

Mtazamo Mhubiri 9:5 katika mazingira