Mika 4:12 BHN

12 Lakini waohawafahamu mawazo ya Mwenyezi-Munguwala hawaelewi mpango wake:Kwamba amewakusanya pamoja,kama miganda mahali pa kupuria.

Kusoma sura kamili Mika 4

Mtazamo Mika 4:12 katika mazingira