Mika 4:13 BHN

13 Mwenyezi-Mungu asema,“Enyi watu wa Siyoni,inukeni mkawaadhibu adui zenu!Nitawapeni nguvu kama fahalimwenye pembe za chuma na kwato za shaba.Mtawasaga watu wa mataifa mengi;mapato yao mtaniwekea wakfu mimi,mali zao mtanitolea mimi Bwana wa dunia yote.”

Kusoma sura kamili Mika 4

Mtazamo Mika 4:13 katika mazingira