Mika 4:2 BHN

2 mataifa mengi yataujia na kusema:“Twendeni juu kwenye mlima wa Mwenyezi-Mungu,twende katika nyumba ya Mungu wa Yakobo,ili atufundishe njia zake,nasi tufuate nyayo zake.Maana mwongozo utatoka huko Siyoni;neno la Mwenyezi-Mungu huko Yerusalemu.”

Kusoma sura kamili Mika 4

Mtazamo Mika 4:2 katika mazingira