3 Mungu atasuluhisha mizozo ya mataifa mengi,atakata mashauri ya mataifa makubwa ya mbali.Nayo yatafua mapanga yao kuwa majembe,na mikuki yao kuwa miundu ya kupogolea.Taifa halitapigana na taifa lingine,wala hayatafanya tena mazoezi ya vita.
Kusoma sura kamili Mika 4
Mtazamo Mika 4:3 katika mazingira