7 Hao walemavu ndio watakaobaki hai;hao waliochukuliwa uhamishoni watakuwa taifa lenye nguvu.Nami Mwenyezi-Mungu nitawatawala mlimani Siyoni,tangu wakati huo na hata milele.”
Kusoma sura kamili Mika 4
Mtazamo Mika 4:7 katika mazingira