8 Nawe kilima cha Yerusalemu,wewe ngome ya Siyoni,ambamo Mungu anafanya ulinzi juu ya watu wake,kama mchungaji juu ya kondoo wake;wewe utakuwa tena mji maarufu kama hapo awali,Yerusalemu utakuwa tena mji mkuu wa mfalme.
Kusoma sura kamili Mika 4
Mtazamo Mika 4:8 katika mazingira