2 Mwenyezi-Mungu asema,“Lakini wewe Bethlehemu katika Efratha,wewe ni mdogo tu kati ya jamii za Yuda,lakini kwako kutatoka mtawalaatakayetawala juu ya Israeli kwa niaba yangu.Asili yake ni ya zama za kale.”
Kusoma sura kamili Mika 5
Mtazamo Mika 5:2 katika mazingira