3 Hivyo Mungu atawaacha watu wake kwa maadui,mpaka yule mama mjamzito atakapojifungua.Kisha ndugu zake waliobakia,watarudi na kuungana na Waisraeli wenzao.
Kusoma sura kamili Mika 5
Mtazamo Mika 5:3 katika mazingira