Mika 6:14 BHN

14 Mtakula lakini hamtashiba;ndani mwenu njaa itazidi kuwauma.Mkiweka akiba haitahifadhiwa,na mkihifadhi kitu nitakiharibu kwa vita.

Kusoma sura kamili Mika 6

Mtazamo Mika 6:14 katika mazingira