Mika 6:15 BHN

15 Mtapanda mbegu, lakini hamtavuna.Mtasindika zeituni, lakini hamtatumia hayo mafuta.Mtasindika zabibu, lakini hamtakunywa hiyo divai.

Kusoma sura kamili Mika 6

Mtazamo Mika 6:15 katika mazingira