Mika 6:5 BHN

5 Enyi watu wangu,kumbukeni njama za Balaki mfalme wa Moabu,na jinsi Balaamu mwana wa Beori alivyomjibu.Kumbukeni yaliyotukia njiani kati ya Shitimu na Gilgali.Kumbukeni mtambue matendo yangu ya kuwaokoa!”

Kusoma sura kamili Mika 6

Mtazamo Mika 6:5 katika mazingira