Nahumu 1:2 BHN

2 Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye wivu, mlipiza kisasi;Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi na ni mwenye ghadhabu;Mwenyezi-Mungu hulipiza kisasi kwa adui zake,huwaka ghadhabu juu ya adui zake.

Kusoma sura kamili Nahumu 1

Mtazamo Nahumu 1:2 katika mazingira