Nahumu 2:11 BHN

11 Limekuwaje basi hilo pango la simba,hilo lililokuwa maficho ya wanasimba?Pamekuwaje hapo mahali pa simba,mahali pa wanasimba ambapo hakuna aliyeweza kuwashtua?

Kusoma sura kamili Nahumu 2

Mtazamo Nahumu 2:11 katika mazingira