Nahumu 2:7 BHN

7 Mji uko wazi kabisa,watu wamechukuliwa mateka.Wanawake wake wanaomboleza,wanalia kama njiwa,na kujipigapiga vifuani.

Kusoma sura kamili Nahumu 2

Mtazamo Nahumu 2:7 katika mazingira