Sefania 1:1 BHN

1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amenia, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa mfalme Yosia mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda:

Kusoma sura kamili Sefania 1

Mtazamo Sefania 1:1 katika mazingira