Sefania 1:14 BHN

14 Ile siku kubwa ya Mwenyezi-Mungu imekaribia,iko karibu na inakuja mbio.Mlio wa siku ya Mwenyezi-Mungu ni wa uchungu;hapo, shujaa atalia kwa sauti.

Kusoma sura kamili Sefania 1

Mtazamo Sefania 1:14 katika mazingira