3 Wanadamu, wanyama, ndege wa anganina samaki wa baharini;vyote nitaviangamiza.Waovu nitawaangamiza kabisa;wanadamu nitawafagilia mbali duniani.
Kusoma sura kamili Sefania 1
Mtazamo Sefania 1:3 katika mazingira