5 Nitawaangamiza wote wanaosujudu juu ya paa,wakiabudu jeshi la mbinguni.Nitawaangamiza wale wanaoniabuduna kuapa kwa jina langu,hali wanaapa pia kwa jina la mungu Milkomu.
Kusoma sura kamili Sefania 1
Mtazamo Sefania 1:5 katika mazingira