Sefania 3:11 BHN

11 “Siku hiyo, haitakulazimu kuona aibu,kutokana na matendo yako ya kuniasi,maana nitawaondoa miongoni mwakowale wanaojigamba na kujitukuzanawe hutakuwa na kiburi tena katika mlima wangu mtakatifu.

Kusoma sura kamili Sefania 3

Mtazamo Sefania 3:11 katika mazingira