Sefania 3:13 BHN

13 Waisraeli watakaobaki,hawatatenda mabaya wala hawatasema uongo;wala kwao hatapatikana mdanganyifu yeyote.Watapata malisho na kulalawala hakuna mtu atakayewatisha.”

Kusoma sura kamili Sefania 3

Mtazamo Sefania 3:13 katika mazingira