Sefania 3:17 BHN

17 Mwenyezi-Mungu, Mungu wako yu pamoja naweyeye ni shujaa anayekuletea ushindi.Yeye atakufurahia kwa furaha kuu,kwa upendo wake atakujalia uhai mpya.Atakufurahia kwa wimbo wa sauti kubwa,

Kusoma sura kamili Sefania 3

Mtazamo Sefania 3:17 katika mazingira