8 “Kwa hiyo ningojeni mimi Mwenyezi-Mungu,ngoja siku nitakapoinuka kutoa mashtaka.Nimeamua kuyakusanya mataifa na falme,kuyamwagia ghadhabu yangu,kadhalika na ukali wa hasira yangu.Dunia yote itateketezwakwa moto wa ghadhabu yangu.
Kusoma sura kamili Sefania 3
Mtazamo Sefania 3:8 katika mazingira