14 Toeni amri watu wafunge;itisheni mkutano wa kidini.Kusanyeni wazee na wakazi wote wa nchi,nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,na humo mkamlilie Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Yoeli 1
Mtazamo Yoeli 1:14 katika mazingira