Yoeli 2:1 BHN

1 Pigeni tarumbeta huko Siyoni;pigeni baragumu juu ya mlima mtakatifu!Tetemekeni enyi wakazi wa Yuda,maana siku ya Mwenyezi-Mungu inakuja,naam, siku hiyo iko karibu!

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:1 katika mazingira