Yoeli 2:2 BHN

2 Hiyo ni siku ya giza na huzuni;siku ya mawingu na giza nene.Jeshi kubwa la nzige linakaribiakama giza linalotanda milimani.Namna hiyo haijapata kuweko kamwewala haitaonekana tenakatika vizazi vyote vijavyo.

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:2 katika mazingira