Yoeli 2:25 BHN

25 Nitawarudishia miaka ile iliyoliwa na nzige,kila kitu kilicholiwa na tunutu, parare na matumatu,hilo jeshi kubwa nililowaletea!

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:25 katika mazingira