26 Mtapata chakula kingi na kutosheka;mtalisifu jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,aliyewatendea mambo ya ajabu.Watu wangu, kamwe hawatadharauliwa tena.
Kusoma sura kamili Yoeli 2
Mtazamo Yoeli 2:26 katika mazingira