Yoeli 2:27 BHN

27 Mtatambua kwamba mimi nimo miongoni mwenu,enyi Waisraeli;kwamba mimi Mwenyezi-Mungu,ndimi Mungu wenu wala hakuna mwingine.Watu wangu, kamwe hawatadharauliwa tena.

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:27 katika mazingira