Yoeli 2:28 BHN

28 “Kisha hapo baadayenitaimimina roho yangu juu ya binadamu wote.Watoto wenu wa kike na wa kiume watatabiri,wazee wenu wataota ndoto,na vijana wenu wataona maono.

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:28 katika mazingira