32 Hapo watu wote watakaoomba kwa jina la Mwenyezi-Mungu wataokolewa.Maana katika mlima Siyoni na Yerusalemu,watakuwako watu watakaosalimika,kama nilivyosema mimi Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Yoeli 2
Mtazamo Yoeli 2:32 katika mazingira