Yoeli 2:31 BHN

31 Jua litatiwa giza,na mwezi utakuwa mwekundu kama damu,kabla ya kufika siku ya Mwenyezi-Mungu,siku iliyo kuu na ya kutisha.

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:31 katika mazingira