Yoeli 3:10 BHN

10 Majembe yenu yafueni yawe mapanga,miundu yenu ya kupogolea iwe mikuki.Hata aliye dhaifu na aseme:‘Mimi pia ni shujaa’.

Kusoma sura kamili Yoeli 3

Mtazamo Yoeli 3:10 katika mazingira