Yoeli 3:12 BHN

12 “Haya mataifa na yajiweke tayari;yaje kwenye bonde liitwalo:‘Mwenyezi-Mungu Ahukumu’.Huko, mimi Mwenyezi-Mungu,nitaketi kuyahukumu mataifa yote ya jirani.

Kusoma sura kamili Yoeli 3

Mtazamo Yoeli 3:12 katika mazingira