Yoeli 3:13 BHN

13 Haya! Chukueni mundu wa kuvuna,kwani sasa ni wakati wa mavuno.Ingieni! Wapondeni kama zabibuambazo zimejaza shinikizo.Uovu wao umepita kiasikama mapipa yanayofurika.”

Kusoma sura kamili Yoeli 3

Mtazamo Yoeli 3:13 katika mazingira