Yoeli 3:18 BHN

18 “Wakati huo, milima itatiririka divai mpya,na vilima vitatiririka maziwa.Vijito vyote vya Yuda vitajaa maji;chemchemi itatokea nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu,na kulinywesha bonde la Shitimu.

Kusoma sura kamili Yoeli 3

Mtazamo Yoeli 3:18 katika mazingira